weee anatumia user name ipi😅Doto magari
😂kwwli leo nimenyimwaNo inglish no sevis
Kaoge maji baridiii utie na mabonge kadhaa ya barafu 😁Hujakosea yani 😂ukiongezea hii baridi mambo yanateleza tu
Chat kwa pichaweee anatumia user name ipi😅
Nenda njombe bas ukale viazi ulaya mzungu😂kwwli leo nimenyimwa
Unacheka Nini?😌
Mkuki kwa nguruwe😂kwwli leo nimenyimwa
Acha tu usingizi unipeleke staki kutesa mwili kwa barafu🤣Kaoge maji baridiii utie na mabonge kadhaa ya barafu 😁
barafu ni tibaAcha tu usingizi unipeleke staki kutesa mwili kwa barafu🤣
Millenial tushazoea😎Saaa tatu hiii usingizi😂😂😂hii kali
Mimi kuna series kila siku nkitaka kuangalia nasinzia alafu palepale kila sikuMillenial tushazoea😎
We wazuri hujawaona huko lakini kwanini unanikosesha amani ya kujiachia jf😙Nilikuona hapa hapa. Mtoto mzuri ajabu.
Mimi sijakuonaWe wazuri hujawaona huko lakini kwanini unanikosesha amani ya kujiachia jf😙
Mjomba kaa chonjoNiwe muwazi tu kwa Seran chimama nimefikia point of no return
kwa tahadhari tu ninamiliki shotgun naomba muwe waangalifu,
Cc @Chivunda
Mimi leo nmejitahidi sana, siku nyingine saa mbili nishaanza safari ya ndoto yangu😃Mimi kuna series kila siku nkitaka kuangalia nasinzia alafu palepale kila siku
Hata yeye hajaniona anajitungia uongo tu!Mimi sijakuona
Juzi nmelala mapema ivo nkaota landlord anarusha vyombo nje nihame nkashtuka sanaMimi leo nmejitahidi sana, siku nyingine saa mbili nishaanza safari ya ndoto yangu😃
Wanyooshe hawa baba hawasikii😁😁Niwe muwazi tu kwa Seran chimama nimefikia point of no return
kwa tahadhari tu ninamiliki shotgun naomba muwe waangalifu,
Cc Chivundu Mtoto halali na hela