Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,477
- 101,450
vzr kama hujamboSijambo
hahahahahaha, usitoke sasa hapaTupia basi kabla sijaanza shift!π
Sawa nipo badoπhahahahahaha, usitoke sasa hapa
Nimeona ukisema unapita leoπ₯π₯πvzr kama hujambo
vzrSawa nipo badoπ
Pita sasa kabla hawajaamka!
hahahaaha,eeh baki hapa ,usipitwe, baadae ukalalamikaNimeona ukisema unapita leoπ₯π₯π
Natia kambiπ₯°hahahaaha,eeh baki hapa ,usipitwe, baadae ukalalamika
sawa sawaNatia kambiπ₯°
Mbn hatuoniπΉπΉπΉπΉsawa sawa
Huyo hayupo jfNawaza hapa kila mmoja apite na uso wake og ukiwa na tongotongo zake na michirizi ya mate mdomoni π
Tulia wanawe uso wapite...usitoke mkuu πHuyo hayupo jf
πΉLeo jmpLili tuwekee kabla ya kuend kanisaniHuyo hayupo jf
Si ukamtongoze kuliko kujitesa kumpiga pic πΉ
Lamomy uliwahi kuwaza utaumia kiasi hiki kwa sababu ya siasa πShesRise_1 wera yuu babe girl, njoo tuliwazane stress za Lissu..
Najua tumeumia sana..!!
Mimi nimechukua likizo ya bila malipo ya kusimama kuuza vijora π₯Ή
Kapachino njoo mchuchu unifariji nitakufa ujue..!!
cocastic Pole kwa maumivu uduguu wangu, najua kwa sasa moyo wako umetulia kidogo..!!
Inaumiza ukiona wajinga wanavunja utawala wa sheria waziwazi..!!
Mimi nishaumia sana na siasa hizi za bongo, kuna kipindi nilijaribu kuzipotezea lakini nikashindwa..!!Lamomy uliwahi kuwaza utaumia kiasi hiki kwa sababu ya siasa π
Jukwaa naliona chungu CCM wamejua kutu fvck mchana kweupe
Maumivu ni kwamba hatujui tufanye nini π oooh kama sisi tumeumia hivi vipi ndugu zake mke ndugu watoto ππΌππΌ
LISSU amedhurumiwa
Ameshitakiwa kwa uhaini ana fungwa kwa uchochezi
Siku la mgambo likilia nitakua pale mbele sasa naelewa wale waasi sio watu wabaya
Nenda jukwaa la siasa Pascal anasema ataachiwa kesho kama ni kweli basi habari hii itatuponya