Selfika na JF: Snap it. Show it

wew ndo umepotea ila sie kila siku tunajimwaya na wakina jihan Mallerina na nduguyo wa migebuka spidernyoka πŸ˜„πŸ€—
Ndio nashangaa kuona uzi una zaidi ya kurasa elfu sijazisoma! Kazi ya kutembeza azam ice cream juani itakuja kuniuaπŸ₯Ή Lol haya naombeni marudio namimi niwaoneshe nilivyoongezeka urefu😎
 
Mm niko Home. Utulivu mwingi.
Nina harus leo . Ukumbi uko jiran na mitaa yako.

Nasikia uvivu balaa. Ila 50/50.
Nikiamua kwenda ntakupitia.

Jana nilivesha kwahiyo nina wenge + uvivu.
Ndiomaana nasikia makelele na maandalizi mpaka nmeshindwa kulala! kumbe jirani!

Hahhaa sawa nipitie ila bia ziwepo sio harusi za kilokole tunaangaliana tu masaa hayaendi!😎

Ulikesha baaπŸ˜†
 
Ndiomaana nasikia makelele na maandalizi mpaka nmeshindwa kulala! kumbe jirani!

Hahhaa sawa nipitie ila bia ziwepo sio harusi za kilokole tunaangaliana tu masaa hayaendi!😎

Ulikesha baaπŸ˜†
Bia muhimu.

Bana eeeh. Nilikuwa nishakunywa Kili zangu ndogo kama 5 hivi. Kuna mwana kanipigia saa 2 usiku kunipa location ya kijiwe kipya. Liqour store moja ya kibabe. Kwenda kumbe yuko na ndugu yake na anaagiza bia kwa bucket. 😏😏😏. Yeye anakunywa JD ile chupa kubwa. Yuko na manzi yake pembeni.

Nikawekewa bucket 2 za kili ndogo.
Aaah saa 8 usiku nikaona sio kweli.
Nikatoroka nimeacha bia 2 pale.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Wamekesha nadhan.
Na mm kukesha siwez.
 
Kwahyo uliona jau kunishtua sio😏

Sema sijanywa bia muda mrefu mwili wangu umekaa mahala pake, nakata hard liquor sa hizi!πŸ€ͺ
 
Kwahyo uliona jau kunishtua sio😏

Sema sijanywa bia muda mrefu mwili wangu umekaa mahala pake, nakata hard liquor sa hizi!πŸ€ͺ

Mabishoo walikuwa wengi. Alafu hela wanazo. Wangekuiba .

Mm sio boya kuwapelekea fisi nyama. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

ila sio kesi. Next time ntatoka na bastola ndio nikuguse uje.

ww ni mwendo wa Hanson Choice tu. Sio πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.
Nzuri . Inapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…