Nilipita, ila hamkuwepo 😂😂😂Selfika uduguu 😹
Jana mbona hukutokea sasa?
Em tukuone ulivopoa 😁Kwa yaliyotokea leo huu uzi wa selfika lazima upoe
Tumesikitika sana💔
Kabisa hamu ya kujipost inatoka wapiKwa yaliyotokea leo huu uzi wa selfika lazima upoe
Tumesikitika sana💔
Hivi weweee dah! Upo kweli, kuona jumbe zako hapa umenifanya nipunguelze machungu ya leo " I humbly submit and he must punished accordily" 😂Kabisa hamu ya kujipost inatoka wapi
Hio nguvu natoa wapi dah💔Em tukuone ulivopoa 😁
Ata hamu ya kuchatika leo hatunaKabisa hamu ya kujipost inatoka wapi
hamu zmebak zipi sasaAta hamu ya kuchatika leo hatuna
Imebaki 12% tuhamu zmebak zipi sasa
ChargingImebaki 12% tu
😹😹ila kuna uzi niliuona ukisema 'ikitokea Lisu ameshinda utafurahi vipi ^^^siuoni nahisi ulikuwa wa lamomy nautaka kwa hamu ila siupati ...Charging
Pa kulilia unapajua usililie kwenye uzi😹😹ila kuna uzi niliuona ukisema 'ikitokea Lisu ameshinda utafurahi vipi ^^^siuoni nahisi ulikuwa wa lamomy nautaka kwa hamu ila siupati ...
Nataka nikalie hukoooo
Ila ndo ishatokea tumekubali.....Pa kulilia unapajua usililie kwenye uzi
Vtu vizuri vipo central leoIla ndo ishatokea tumekubali.....
🤣🤣Leo naona hutaki kuweka vitu vizuri
Hapa ndo central😹😹we tupe tufute machoziVtu vizuri vipo central leo
kwakwel watupe tuHapa ndo central😹😹we tupe tufute machozi
🤣🤣wa kukupa tunaomboleza banakwakwel watupe tu
Mungu atusimamie🤣🤣wa kukupa tunaomboleza bana