Yani nilikua natafuta sherehe ili nikodi ile midoli, tushaipata twenzetu.!!Niko winja winja, tunaenda na vigoma kurusha roho huko skuli.
πππ
Kweli situliagi mimiπΉπΉaunt mtu unaswampa sana imekaa mda mrefu sana,ujue
Ngoja ntamtumia asinzie kidogo kwanzsππ₯³π₯π€anataka na ya aunt yake a.k.a pacha ake jihaniππ
bora hata unajijuaπKweli situliagi mimiπΉπΉ
hataki maneno anataka picππNgoja ntamtumia asinzie kidogo kwanzsππ₯³π₯π€
Eeeeeh usiniambieeeeπββοΈNna bonge la pic nikilipost hapa ntazua taharuki acha nitulie πΉπΉπΉ
Huwezi amini ndio katoka saloon mda si mrefu!Auntie mshunuu wangu ana graduate jamani πππ₯π₯
Salon kashaenda kutengeneza nywele?
Nipe location nimletee zawadi, nakuja na ile midoli mikubwa inayocheza special for yeye..!!
Auntie naingia na matashtiti πΉπΉ
cocastic nipe kampani twende tukawachachue huko skongaβ¦!
Niwekee β€οΈNna bonge la pic nikilipost hapa ntazua taharuki acha nitulie πΉπΉπΉ
π€£π€£π€£π€£π€£huyo atakuwa kivurugeeeeβ€οΈhataki maneno anataka picππ
Ya Samira au lucitaNna bonge la pic nikilipost hapa ntazua taharuki acha nitulie πΉπΉπΉ
jinga wew nimecheka sanaaaπ π π π labda arithi kwakoπ€£π€£π€£π€£π€£huyo atakuwa kivurugeeeeβ€οΈ
π€£π€£akinirithi mbn utamgawa kwa wengine sasajinga wew nimecheka sanaaaπ π π π labda arithi kwako
Nimekuta pic yangu moja hivi nikiwa beach ni fireeeeee πΉπΉπΉEeeeeh usiniambieeeeπββοΈ
hata hivyo nakaribia kumgawa kwa bibi yake maana kina nidekea mno hakitaki nipumzike πͺπ€£π€£akinirithi mbn utamgawa kwa wengine sasa
Ngoja nicheck sitaki kupitwa..!!Huwezi amini ndio katoka saloon mda si mrefu!
Angalia anazak primary school kwenye Google map.
Unataka uje na wazawa band Ile ya tandare anayoitumiaga saula
Ngoja mashetani yapande kwanza, maana hii italeta hekaheka hapa..!! πΉNiwekee β€οΈ
Ya kwangu mwenyewe, nimeangalia kwanza nimecheka πΉπΉπΉYa Samira au lucita
Tupiaaaaaaaa bana nisafishe macho maana yanauma mwenzio sijui nimepatwa na nini nimeweka kope zinachoma ππNimekuta pic yangu moja hivi nikiwa beach ni fireeeeee πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ Ngoja kwanza nijifikirieTupiaaaaaaaa bana nisafishe macho maana yanauma mwenzio sijui nipatwa na nini nimeweka kope zinachoma ππ