spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,954
- 23,611
Kwan unadhani nmelisahau sasaNdo ulitaje hilo jina
Unasahau vipi jina la mpenzi wako.wa zamani sasa😂
Nakufahamu kwa Id ya spider😁Then kama sio mkongwe mbona unanifaham na mm nilipostig zaman sana enzi za maguful
😹😹😹 Huyu sio Marry Dikompoza kweli?Hamna jamn ila ndie yeye umeikumbuka hio ID jina lake lipo katikati hapo kwenye mallerina
😹😹ata picha yke hana tungemsaidia kutafuta humu ndaniNi wewe 😹😹
Ulimlia shingapi?
Inaonekana bado hajakata tamaa mwenyewe kaendelea kusubiri..!! 😹😹
Hapana unamfaham allecy?😹😹😹 Huyu sio Marry Dikompoza kweli?
Ndo nani kwanza itakuwa tunafnana humu tu😹😹😹 Huyu sio Marry Dikompoza kweli?
Huo sio ushahidi🤣🤣Kwan unadhani nmelisahau sasa
Nmesearch halipo ndo mana nmejua ni wewe
😹😹😹 Hajakufananisha bana, em weka tena pic tuthibitishe..!!😹😹ata picha yke hana tungemsaidia kutafuta humu ndani
Hii ya leo hata wewe ungemjua😹😹😹 Hajakufananisha bana, em weka tena pic tuthibitishe..!!
Simfahamu, huyo mkongwe..!!Hapana unamfaham allecy?
Mpaka vituko vyenu naye anajiita Gen Z 😹😹Ndo nani kwanza itakuwa tunafnana humu tu
Ngoja niweke muone sio mimi😹😹😹 Hajakufananisha bana, em weka tena pic tuthibitishe..!!
😹😹😹labda pacha wanguMpaka vituko vyenu naye anajiita Gen Z 😹😹
Marry Diana mtafute ujionee..!!
Wakongwe siwajui waliokimbia id zao wengi siwajui, lakini Huyo Malle sio mgeni jijini JF 😹Hii ya leo hata wewe ungemjua
🔥🔥🔥 Weka weka mambo kwa ushahidiNgoja niweke muone sio mimi
Na mimi niibwage hiii sasa imeshakaa sanaWakongwe siwajui waliokimbia id zao wengi siwajui, lakini Huyo Malle sio mgeni jijini JF 😹
Yani mmefanana kila kitu 😹😹😹😹labda pacha wangu
Yumo.humu bado au😹😹😹Yani mmefanana kila kitu 😹
Na mimi niibwage nirudi kivingine, sema mtanijua tu! 😹😹Na mimi niibwage hiii sasa imeshakaa sana
Duh 😁kwanini unasema mimi sio mgeni humuWakongwe siwajui waliokimbia id zao wengi siwajui, lakini Huyo Malle sio mgeni jijini JF 😹