Selfika na JF: Snap it. Show it

Usumbufu ukizidi utafunga tu
Naona wanaume nyie hakuna tabu
Zamani wenzenu wakongwee walikua wanaweza vumilia pm za Kila aina

Ma Genz mnafeli wapi sasa wakija wawili watatu mnashindwa himili

Sema Kuna mda nakuelewa watu wanakulana mitongozo hii platform haha Kuna mda kama ka badoo flan hivi
 
Sasa uvumilie kuna faida gani chino
Ku chat PM watu tuna chat ila sio na kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…