Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 745
- 1,657
Hata mimi nimewahi mng'aza ni kama Nicole Scherzinger πSawa hata kama ni mshangazi, ila aache uwongo kudai hana rangi wala wowowo. Sio kweli
Muongo haswaaa, Kuna picha alitupia akiwa gym! Oyaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Mambo niyapendayo haya πππ
tatizo mapozi aisee huyo mlimbwende ana mapoz dunia nzima πLamomy ni limshangazi flani hivi la kilatina π
πΉπΉπΉπΉ Ila mnajua kuwajaza watu..!!Hata mimi nimewahi mng'aza ni kama Nicole Scherzinger π
Ndio holiday mamaaπKalale mwaego, kesho una off kwani?
selfika kwanza tajiri salam achia watoto πMambo niyapendayo haya πππ
Tajiriiii nakuja kukuamkia pm unifikirie hata kibunda kimoja πΉπΉ
Lamomy ni yale majimama boss afu kgs kibaotatizo mapozi aisee huyo mlimbwende ana mapoz dunia nzima π
body tea af pesa ziko bank π₯Lamomy ni yale majimama boss afu kgs kibao
Pambana π Uzee mwisho Kimanzichana.Acha hiyo BK, kuna picha moja hivi kakaa, kapiga kimini. Sema tuu basi siku hizi nishazeeka. Nimekwisha. π
Pita bas tukuoneNdio holiday mamaaπ
Nimeshapita mpaka watu wamekinai wewe unakuaga wapi kwaniπ πPita bas tukuone
Au unasema hii? πΉπΉAcha hiyo BK, kuna picha moja hivi kakaa, kapiga kimini. Sema tuu basi siku hizi nishazeeka. Nimekwisha. π
Nilitupia bana, subiri kesho π©binti kiziwi ndo umenidanganya
EehNilitupia bana, subiri kesho π©
Hizi fujo sasaAu unasema hii? πΉπΉ
Hapo nimejibinua tu!
MFALME WETU si nilikuambiaAu unasema hii? πΉπΉ
Hapo nimejibinua tu!