Ulisema samahani kwa kuwaridhisha.
Kwa sababu waliwaka. Ila baada ya kujua ukweli ingependeza uombe radhi kwa kuukashfu uafrika na kushobokea ngozi nyeupe au sio boss?
Picha yako yenye mwanya ni mzuri kuliko huyo mzungu.
Miguu ya kapeace kwenye ile picha kapigia white ni mizuri kuliko ya huyo mzungu. Endeleeni kutupa ladha za nyumbani.