mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
Umejilipua mkuu, aibu tutaona sisi au vipiMiganga Mikuu himuselufu.
Yeah ni rikaa kumbe38 .
Hebu huko mwenyewe najiwasha hapa!Ngoja nilewe kwa kina😅
Hii siitaki 😁Ya zamani tu, mpya mandevu yamekua sana na sijanyoa siwezi weka hapa nisije kosa wachumba😅View attachment 3650776
Usifute mchumba kwani unawaza nini
Niwaze nini kwa lipi? Naifuta!!Usifute mchumba kwani unawaza nini
Acha nyambavu wewe😅Niwaze nini kwa lipi? Naifuta!!
Sitaki nuksi mie💃🏽Acha nyambavu wewe😅
Unataka nimesimama kidedea😅Hii siitaki 😁
Kwanini?Unataka nimesimama kidedea😅
Yani nimepiga full?Kwanini?
Chuma kama chuma , ila bado sijalewa , nachangwanywa na wahudumu tu hapaUmelewa bwashee hueleweki!
Karibu paper two!
Hahha ulivyo kabishi leo watakomaChuma kama chuma , ila bado sijalewa , nachangwanywa na wahudumu tu hapa
Hivi mimi ni mbishi😅Hahha ulivyo kabishi leo watakoma
Naingia chupa ya 4 niko vyedi nishakuwa kalevi😁
Sana!Hivi mimi ni mbishi😅
Beib😌say ma name 😁
say it again