Selfika na JF: Snap it. Show it

hii meza unayotaka kutingisha inavinywaji vya bei, mbona unifukuzie mteja 😏😏
Kuuza kwako majeneza ndio usiwe unawaambia wenzio waendeshe gari kwa speed kubwa..
Muuzie shower gel inatosha, panadol ni mpaka aumwe, sio anywe anywe tu, ile sio asali bibi, yana madhara makubwa kiafya ukiyatumia kwa muda mrefu
 
kheee mbona risala tena? hizo panado ni nyongeza tu kwa mteja wangu ebo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…