Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,521
Ndio namsubiri..chondechonde asituangusheKweli mwambie atupie uone balaa.!!
Utakata ticket ss hivi uje bongo bila kutarajia..!! πΉπΉ
Huyu my wetu hapo mbele ana kalia niniπView attachment 3602317jua la utosini
Unyama sana π»
Nimecheka kwa sautiWatu wa abroad pozi zenu π
Huyo dada hapo mbele mwambie atoke ntampasua na vitraco vyake..!!
Naona anakutega anataka kuniibia mchumba angu πΉπΉπΉ
Umeingizwa mkenge umeingiaHebu tuthibitishie sasa mana tuna kiu ya kuona anavyovisifia Labella
Mimi nishawazoea jamanHuyu my wetu hapo mbele ana kalia niniπ
Ubahili tu mfyuuu..!! πΉπΉπΉAhh wapi hujajua sichezagi na shilingi chooni, ndio maana naweza sema no usipo tegemea.
kuhusu body massage ume nikumbusha mbali, vili nishinda maana ni msala
Sema kuna ka ukweli, hizi rangi mta nimaliza wallahiHuyu ukimchekea ana kufukuzia ndege we hayaππ
Please utendee haki huu uziUmeingizwa mkenge umeingia
Hamna full massage haiku nishinda kisa pei, shida kuchezewa na open k πUbahili tu mfyuuu..!! πΉπΉπΉ
TayaliPlease utendee haki huu uzi
πππMimi nishawazoea jaman
We kweli bhana m-bless American boy uumbaji huo..!! πΉYaan anajazaa
πππUshawai ona Warld katuma kopaππ
Kuna filter kijana shauri yakoSema kuna ka ukweli, hizi rangi mta nimaliza wallahi
Shauri yako tatizo hamtaki watu waseme ya moyoni..!! Mpaka wajinyonge ndo muanze kusema ningejua ningemuelewa tu! πΉHii chai haina sukari
Kitu gani Tena mamy unataka kukiona?πUnyama sana π»
Mkaka mzuri una rangi ya chungwa.
Simama basi kuna kitu nataka kuona mwenzio..!!
G mambo vipi? πΉMh!!!!