Selfika na JF: Snap it. Show it

We mtu ulikuwa wapi.
Khaaa
acheni unafiki nyie watu wa jf...yaani nilitegemea ningekuwa pm imejaa balaa...mweeee !! hamna ata mtu wakutaka kunijulia hali.
anyways nilikuwa napambania life ndugu yangu mambo yalikuwa magumu zilipigwa penalty mimi na israel, israel penaty yake imegonga mwamba ndio pona yangu. sasa nimerudi full afya ni mwendo wa burudaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…