Hatupo konami kaka๐๐Tulikubaliana tunasalimiana kwa code kaka
Tulia basi mjuaji wewe ๐๐ค ๐๐ค ๐Kibabu na binti
Nimeacha kaka๐Tulia basi mjuaji wewe ๐๐ค ๐๐ค ๐
Hakuna pasi hata moja iliyofika zote zimekuwa intercepted, kwa ufupi pasi zote mbovu ๐Mkuu huzijui code..๐๐ค ๐๐ค ๐
Nlikuwa nawatembezea pass fupi-fupi.
Unatoka bongo sio
lazima tukuite,, kaka mkubwa yaaani lazima๐Achaneni na mimi endeleeni kubebishana ila msinihusishe ๐
Kusema nakupenda vidole vinakua vizito๐๐Jf ni keyboard, na wewe ni keyboard worrier sasa udomo zege umeingiaje๐
Niache ๐Nakuelewa mwanangu
View attachment 3601346
Sililiza hii inatibu hadi presha ya division ๐๐๐พ
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ nilikusahauBabu=kibabu nipo hapa
Nikiopata tusi nitakurudia๐๐๐พKusema nakupenda vidole vinakua vizito๐๐
Ndugu zangu wananisaliti hadharani, familiya imenitenga ๐๐
Sahau Hilo๐๐๐๐พ
Sawaa kaka ukikosa niambie nijitukane๐๐Nikiopata tusi nitakurudia๐๐๐พ
Tupo na wewe mwanetu๐Ndugu zangu wananisaliti hadharani, familiya imenitenga ๐๐
Fanya hivyo upesi๐Sawaa kaka ukikosa niambie nijitukane๐๐