We tupia sasa hivi baadae kuna nyomi!Zipo nyingi sana Humu,na baadae natupia tena,usilale
Nalinda thread isiibiwehuyu ni usalama wa Jf😅😅😅
Ndio nataka kumuona staff mwenzangu😂huyu ni usalama wa Jf😅😅😅
Sikubaliani nawewe lolote mpaka upite!Uko vzr Mrembo
Hahahaha,tuendelee na jukumuNdio nataka kumuona staff mwenzangu😂
kwa kweli jamni tena saivi tupo watatu tuNdio apite hapa asilete habari za uongo na kweli..
Unakusanya habari huna lolote😂Nalinda thread isiibiwe
Volunteers 😆Hahahaha,tuendelee na jukumu
KwannFuta hii mamake picha yangu itoke humu sitaki taharuki😬
Sawa sawaVolunteers 😆
done sweeFuta hii mamake picha yangu itoke humu sitaki taharuki😬
nimecheka😅😅😅Unakusanya habari huna lolote😂
akijitupia unishtue sema staff mwenzio anaringaaa😅Ndio nataka kumuona staff mwenzangu😂
Ifutwe tu mambo yasiwe mengiKwann
We mtu gani makelele yote haya lkn hapitinimecheka😅😅😅
Labda ni mubaba anaogopa tusimuibe😬akijitupia unishtue sema staff mwenzio anaringaaa😅
Imeanza saa 3 kasoro jau sana bila wifi ningekuwa offline😂Hama huko🤣
aiii sasa mapedeshee wameanza kuogopa since when jamni 😄Labda ni mubaba anaogopa tusimuibe😬