Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Selfika hata kiatu kijana, chap nami nirukeHv muongozo c unaficha sura au, mana mm hua natangaza n handsome boy Sasa waja Wakiona sura yangu kweli wanaweza kunikimbia wakidhani wameona msukule aliyelogwa
Acha nongwa hutaki twende kwenye pork, japo silagi πNilishawahi kuselfika huku jicho moja,mdomo nusu na pua nusu,Kuna mtu akanifuata Pm akanitajia Hadi majina yangu matatu kudadadekiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Em nambie pm πUkijua utaishiwa power
Sawa mkuu, ngoja nichague hapaSelfika hata kiatu kijana, chap nami niruke
Kweli ni mtu anayenifahamu vizuri!Huyo basi ni mtu wako wa karibu sana
Astghafirullah πNilishawahi kuselfika huku jicho moja,mdomo nusu na pua nusu,Kuna mtu akanifuata Pm akanitajia Hadi majina yangu matatu kudadadekiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
KijanaaaaaπSawa mkuu, ngoja nichague hapa
Mi naselfika kiatu changu cha urithi, halafu nisikie this or that za nyoSawa mkuu, ngoja nichague hapa
Utasikia kiatu cha buza πMi naselfika kiatu changu cha urithi, halafu nisikie this or that za nyo
Naam boss πKijanaaaaaπ
Kikubwa changu, wanasema luv yours.Utasikia kiatu cha buza π
Wakuu tupieni foro hizo πΉWanangu mna mambo ya kingese π
Leo huyo mtu hayupo selfika mahiNilishawahi kuselfika huku jicho moja,mdomo nusu na pua nusu,Kuna mtu akanifuata Pm akanitajia Hadi majina yangu matatu kudadadekiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
ASAP Pacha nasubiri nione kiatu huenda nikaja kukuazima.Mi naselfika kiatu changu cha urithi, halafu nisikie this or that za nyo
Manena, ngoja nizime na simu ππASAP Pacha nasubiri nione kiatu huenda nikaja kukuazima.
Unyamwezi familia, sema nimekuzidi urefu tu.
Wooowww π»π»π»π»