Abeee 🤭Rasii
kwahiyo unamsubiri yesu afufuke ukiwa bar😄😄😄 si uende kanisani kakaMdogo wangu Mcute.
Aaah kabisa. Its Weekend.
Tunakesha Kumsubiria Yesu afufuke.
Alaf Leo Kidogo nagusa Konki .
karibu
Seran shem wangu kabisa, I miss You.
Alaf We mzee uko wap? min -meView attachment 3567527
kwahiyo unamsubiri yesu afufuke ukiwa bar😄😄😄 si uende kanisani kaka
hayaa we enjoy tu na hiyo bapa yako ya nyagi 😂😂Hapana mdogo wangu mcute.
Yesu atafufuka tu. Tuwe Kanisan. Au nyumban.
Na kingne ni afufuke ndan ya nafsi zetu. Na unaweza ukawa kokote. 😂😂😂😂
Hahaha hapo ungejitwisha vodka ungeamka bila maruwe ruwe bwashee , mmi najiandaa kuingia kibaruani , sema tu sikuzoea kulewa job ila tayari nimeshapata hamu ya kujidunga😋Mdogo wangu Mcute.
Aaah kabisa. Its Weekend.
Tunakesha Kumsubiria Yesu afufuke.
Alaf Leo Kidogo nagusa Konki .
karibu
Seran shem wangu kabisa, I miss You.
Alaf We mzee uko wap? min -meView attachment 3567527
Mtoto wetu kakua sana ,ila ungesimama ungepungukiwa na nini shem🤗
Usiwaze nikisimama ntakustua !Mtoto wetu kakua sana ,ila ungesimama ungepungukiwa na nini shem🤗
Hahhahaha ndio nataka nishtuke mara moja moja sio mbaya😊Usiwaze nikisimama ntakustua !
Kamekua sana
Kuna cha kushtusha sasa mweh! !Hahhahaha ndio nataka nishtuke mara moja moja sio mbaya😊
Mpe hi kajomba
Kipo ,ndio maana nikaomba usimame kwani mimi kipofu😅Kuna cha kushtusha sasa mweh! !
Salamu zimefika rafiki!
Looking beautiful! Nimependa msukooo !!!Heyloooo!!
View attachment 3568002
CuteHeyloooo!!
View attachment 3568002
Ahsante dearLooking beautiful! Nimependa msukooo !!!
Hapo Ilikuwa jana rafikiiii saii nshavimbiwa pilau la Easter ni napumulia juu juu tu hapa! Ntakubles Easter MondayKipo ,ndio maana nikaomba usimame kwani mimi kipofu😅