I know it sounds weird, mimi mwenyewe niliishiwa na pozi: It was weird
Nimeenda nyumbani kwa mchizi wangu dada yake hanifahamu, ile natoka akanifuata akaniuliza jina. Kachupa kadogo tu, kana bei kubwa hako na mpaka leo sijaona perfume iliyowahi nivutia kama ile.