Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,213
Mashallah π₯° nachukuaChukua lotelote
Nipo masta kitambo sana sijakuona jukwaani πKwema ndugu upo powa
ππChungwa gani ? La SUMA LEE AU CHUNGWA LINGINE ππ
Hapa ndio narudii home nili PATA deal la 30,000 kwenda chanika.Nikitoka job nitakushtua
Saivi nasoma sana kuliko navyo comment πNipo masta kitambo sana sijakuona jukwaani π
Hako hapo chukuaKa wewe
good to see you around brotherSaivi nasoma sana kuliko navyo comment π
Nipo humu leasure time yangu yooteee
π umenitaimu kama navyotaka kumtaimu min -me
TumechukuaπHako hapo chukuaView attachment 3476757
Kama sitakuwepo nipigie simu, namba yangu anayo mpwa wako.Nikitoka job nitakushtua
Haaahaa π ππ umenitaimu kama navyotaka kumtaimu min -me
ππππ,.
good to see you around brother
VizuriTumechukuaπ
Mrembo, na mi niko singular. Hebu fanya mpango upate mama mjomba πππππ,.
Nina Anko wangu Yuko single jamani
Mkono tuu ππ umetupunjaVizuri
Hapa bila shaka ni abroad
Weuuwwweππ,. Hatimaye na Mimi nimepata shangaziMrembo, na mi niko singular. Hebu fanya mpango upate mama mjomba π
It's so hot in here...Mko wapi wikiendi hii?
Lee wewe huwa unatupunja sana...Hako hapo chukuaView attachment 3476757