Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,725
- 24,004
Familia πUsijar kaka tutachekiana kaka
Coca kabanwa na pumu hatakiwi kupigwa na upepo πΉπΉπΉπ€£π€£π€£π€£π€£Huyo Coca anapumua kweli?
πΉπΉπΉ Ungeomba namba..!!Lamomy Kwenye pita pita zangu leo si nakakutania na mtoto wa ki Kinga bana namba E safi kabisa. Hahaha nikacheka sana nikasema Mungu kaamua kusikia kilio Cha chino na hatimaye kamleta cute live.
Sasa naachaje namba!πΉπΉπΉ Ungeomba namba..!!
Mi mwenyewe leo nimekutana na gentleman kama wewe, katupia jeans na shirt white ananukia balaa..!!
πΉπΉπΉ Kwahiyo unaconnect dot chino π€£Sasa naachaje namba!
Cha kufurahisha zaidi nilikua nimetinga Uzi wa mnyama huu mpya. Akiniambia jezi zenu safari hii nzuri nikamuambie we sio mnyama kwani akaniambia aku yeye ni uto haha nikamchombeza na ulaya akasema washika mtutu wa London.
Nikasema hii lazima nije nikuadisie
No Wala my!!πΉπΉπΉ Kwahiyo unaconnect dot chino π€£
πΉπΉπΉ Ungekomaa, ona sasa ushamkosa ndege..!!No Wala my!!
Nimefurahia tu nikasema ntaja kukuhadhia; nilikua surprised.
Nilipokuja kuchoka zaidi ana mwili wako sema yeye kakuzidi kidogo kimwili.
Nikadhani Mungu kasikia kilio Cha chino
Ukishachukua number; unajifanya Gentlemen unapunguza pupa. Soon tutaanza kufundishana ki Kinga hapa.πΉπΉπΉ Ungekomaa, ona sasa ushamkosa ndege..!!
Hahahahaπ€£π€£π€£π€£π€£Huyo Coca anapumua kweli?
Mkuu DaktariUsijar kaka tutachekiana kaka
Ukiwa online nambieMkuu Daktari
Muda ndio huu umefika
Nimefika onlineUkiwa online nambie
Bado upo Jana niliweka na kufuta kama upo online nambie muda huuNimefika online
Haya timiza ahadi
Nipo sasahivi,haya weka MkuuBado upo Jana niliweka na kufuta kama upo online nambie muda huu
Nimetulia now nipo onlineNipo sasahivi,haya weka Mkuu
TunapishanaNimetulia now nipo online
Tunapishanaa ππTunapishana
Haya weka