MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,314
- 25,454
Dah naishiwa pawa sasa
Brother πkwaKupasha mwili muhimu sna bwashee
Dah naishiwa pawa sasa
Kaka tule bia bwasheeBrother πkwa
π Nimeona body ya mazoezi mangi ππ½
Ngoma iko π₯ππ½
View: https://youtu.be/-iLEn8nHfIc?si=bClM8bWHfh-QpePk hii ngoma inanibariki sana, nakapenda hako kadada kanavyoringa hapo mwanzoniπ
ππSitaki kuamini
SureNgoma iko π₯ππ½
Kumbe ndiyo mambo unayopenda hayo π π€
Kapo makini mno
Ila mambo haya hatari sana
Iko humu imejaa teleee. ππππYako iko wapi? πΉ
Brother π avatar Yako ni pirate of Caribbean kwa nini uli amua kuiweka kaka.Kaka tule bia bwashee
Em sema kweliii? ππππAnza wewe
Crossing hii anazaliwa mtoto chombo balaaa
Kweli tupu πEm sema kweliii? ππππ
ππππ aaah wapiii?!Kweli tupu π
Wekeni pichaaKweli tupu π