Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,572
- 235,412
Hauwezi mtaniUnataka nifumaniwe?? Hunitakii mema
Siku ya kesho posts zangu zote mwisho naweka Cc Mahondaw, siku nzima..πβοΈ
Hilo jicho liko wapi mzee?jicho la kichaga kabisa
Wozah wozah! Muy Hermosa;πβοΈ
We yako iko wapi ya kibamia? πΉπΉπΉAlafu akili zako kweli zipo matakoni nimekwambia wewe weka picha ya titi wewe unaweka picha ya tako
Wee sema kweli!!πππSiku ya kesho posts zangu zote mwisho naweka Cc Mahondaw, siku nzima..
Since 2013 mnywani. Samaleko!Wozah wozah! Muy Hermosa;
Mnywani kama mnywani
Mweh itakuwa camera tu rafiki!!Madam shingo matata, shepu matata lips matata kuna watu wanafaidi aseee
Kinakuja kibamia usijaliWe yako iko wapi ya kibamia? πΉπΉπΉ
Tangu utupiege umevaa raba sijabahatika tena kuona π€³ zako kamanda!Swadakta
Nipo min! Fanya manuva π€³ kabla sijatingwa jioni yangu iishe vizuriMaho upo?
Mzee wa hall V ana mtuwe wa Long time kitambo itakuwa kamzuia kuingia jf nadhani anaitwa Cute B mnywani!Hahaha kung'aa sio shida zako naona.
Huyu mkongwe mwenzio Mzee wa hall v sumbai sijui alikuwaga wapi aise? Akaacha hii Mali isiandikishwe ulaiboni huko.
Santo sana na inapendeza sanaπ€©π€©π€©ππππ
Wee usikate tamaa kirahisi hivo komaa bana!Nakata tamaa inabidi nimpeti mdada anae nipenda
Hii unataka kuleta sio sasa ! Kwani Efen mwenyewe anasemaje?? ukute unamsingizia kujidifendi wewe!
Navojua Efen hana hizo itakuwa kuna pahala ulimkwaza wewe make wanaume sometimes akili zenyu mnazijua wenyewe π!Muulize yeye madam