Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Ijumaa hii, mpaka saa ngapi utakua umelewa?Hahha now na picha nyingi tu wala sijali kuziachia nivizie nikilewa tuπ
πΉπΉπΉ Weeh nilikwambia udongo wangu rojo yani haufinyangiki kabisaaa..!! π€£Itakua udongo wako uliobakia mimi ndiyo nilipewa makombo yake japo kidogo π
Huko mamtoni Hawatafuti ma housewoman wazee wa kuwafanyia kazi za ndaniππ???Soma plate number..
Silewi mpka weekend ijayo , nmebanwa kulandua akili mbayaIjumaa hii, mpaka saa ngapi utakua umelewa?
Chimbo kali sana, wapi mkuu ! Siku nikitusua nije hapo nikae meza ndefu niagize JDaniels
Kwamba nawe chokambaya kamie hapa kwamba weekend ijayo mfuko ndo utakua umenona angaπ€πππ??? Acha kuzingua bosssSilewi mpka weekend ijayo , nmebanwa kulandua akili mbaya
Ahsante Sana nipoMarry Diana njoo basi uselfike mahi ushtue mji uduguu wetu..!! π
Awww π₯°π₯°π₯°π₯°Maria D.
Kama unajiamini weka Sura yako hiyo ya mbuzi
Ahsante Sana nipo
Kama yupo anayejiamini kama Mimi aweke picha yake,au Sura hazipostikiMaria D.
Kama unajiamini weka Sura yako hiyo ya mbuzi
Ahsante Sana nipo
Hahahaha hapana pombe zipo ndani za kutosha nina nina stock ya mwaka mzima sema , hzi wiki nabanwa nikilanduka nitazinguaπKwamba nawe chokambaya kamie hapa kwamba weekend ijayo mfuko ndo utakua umenona angaπ€πππ??? Acha kuzingua bosss
Ahsante udugu wangu πAwww π₯°π₯°π₯°π₯°
Sema Marry uliumbwa na ukapendelewa uongo mbaya mahi.!!
Sijaona wa kukuzidi kwakweli, tupia nyingine basi mahi..!! π
πΉπΉπΉ Tuna sura nzito wenzio na simu za mkopo hizi camΓ©ra hazileti ushirikiano..!!Kama yupo anayejiamini kama Mimi aweke picha yake,au Sura hazipostiki
min-me ananizushia nipo mamtoni... wakati tupo bongo tunapauka na vumbi... ππ..Huko mamtoni Hawatafuti ma housewoman wazee wa kuwafanyia kazi ππ???
Hebu nifanyie manuva nikasafishepo machoi!
Uuuuwiii ππππΉπΉπΉ Tuna sura nzito wenzio na simu za mkopo hizi camΓ©ra hazileti ushirikiano..!!
Acha hizooo nibless! Mlevi hachagui siku za kulewa rafiki tupiaHahahaha hapana pombe zipo ndani za kutosha nina nina stock ya mwaka mzima sema , hzi wiki nabanwa nikilanduka nitazinguaπ
π pambeeeeAhsante udugu wangu π
Weee uko mamtoniiiii! Namie naonaga mazingira yaforo zako sio bongobahati mbaya hiooo!min-me ananizushia nipo mamtoni... wakati tupo bongo tunapauka na vumbi... ππ..
Acha basi dada unataka watu wasevu kwenye simu zao ππ badae wanitangaze vibayaπ pambeeee
Tupia kitu kingine Marry yani we mzuri jamani..!!
Mungu kaumba, mama kazaa π₯°