πΉπΉπ€£ Nasubiri nione traco la kuvunja chaga..!!Nimefikiwa π€£π€£
πΉπΉπΉ Mnicheke thubutu..!!jiko lime pata mpishi usiache kupiga picha tuone
Shida ujiamini πππΉπΉπΉ Mnicheke thubutu..!!
Nina jambo na wewe; jana si nikajaribu kupika lile pilau lako πSelfika mshangazi π
πΉπΉπΉ Mbwa tu niliwapikia chakula kibichi chupuchupu waningβate..!!Shida ujiamini ππ
Jambo gani zuri bila shaka πNina jambo na wewe; jana si nikajaribu kupika lile pilau lako π
Na ndio itakuwa fimbo yako sema nini nime penda jiko lako safi af kubwaaa kabisa mkinga wa mbweni mwenye gorofa lakeπΉπΉπΉ Mbwa tu niliwapikia chakula kibichi chupuchupu waningβate..!!
Ndo nilete huku kwa wajuaji washinde wananicheka hapaaaanaa..!! π€£
Pishi gumu ila nilitoboa.Pilau likawaje?
Napenda viazi sana sasa mbona hukunipa mwalikoPishi gumu ila nilitoboa.
Nilivyoanza nilikua nafikiria kitatoka kitu au kituko π€£π€£
View attachment 3402961
WW mwenyewe kauzu....ππππΉπΉπΉ Kuku walileta?
Hapa wasubiri ugali na kauzu..!!
Sasa si ilikua pishi la majaribio kwanza, ila kitu kilitoka safi.Napenda viazi sana sasa mbona hukunipa mwaliko
Hizi ndio starehe zangu, na ndizo zita fanya nipeleke mahari ukweni kwa shangazi yakoSasa si ilikua pishi la majaribio kwanza, ila kitu kilitoka safi.
View attachment 3402971
View attachment 3402972
Chakula kinaonekana kizuri sana sasa panga siku nije nileSasa si ilikua pishi la majaribio kwanza, ila kitu kilitoka safi.
Next time nikipika lazima mwalimu uje uonje.
View attachment 3402971
View attachment 3402972
Dalili za pilau bubu hizi ππΉπΉπ€£π€£ Leo ndo leo watajua hawajui..!!
Naset mitambo kwanza sijui nianze na nini?? π€£
πΉπΉπΉ Ndugu yangu ghorofa nilitoe wapi nimepanga bonyokwa chumba cha giza hapa..!!Na ndio itakuwa fimbo yako sema nini nime penda jiko lako safi af kubwaaa kabisa mkinga wa mbweni mwenye gorofa lake
Imagine sasa huo msosi utakuwaje? πΉπΉWW mwenyewe kauzu....πππ
Acha mwanamke wa maji ya kwanza kabisa una onekanaπΉπΉπΉ Ndugu yangu ghorofa nilitoe wapi nimepanga bonyokwa chumba cha giza hapa..!!
πΉπΉ Halafu kweli sijui nimchukue papi nimchinje anogeshe pilau..!!Dalili za pilau bubu hizi π
Haa haa, utaikacha team kataa ndoa πHizi ndio starehe zangu, na ndizo zita fanya nipeleke mahari ukweni kwa shangazi yako
Limeisha hilo ππChakula kinaonekana kizuri sana sasa panga siku nije nile