Sawa babeππππSanto sana kipenzi nakwako pia. wasalimie wanangu!
Usiku mwema tena, hapa najiandaa kutoka lindo, Leo nazianza mapemaaa π π πSawa usiku mwema
πππMim nikifikiria nawaza kulala tu leoUsiku mwema tena, hapa najiandaa kutoka lindo, Leo nazianza mapemaaa π π π
Ndio wapi mkuu?Karibu ushirombo
Na mie nawaza chupa ya kvant au nyagiπππMim nikifikiria nawaza kulala tu leo
Burundi mkuuNdio wapi mkuu?
Umeshashindikana weweππππNa mie nawaza chupa ya kvant au nyagi
Nimepiga kahawa yangu pale uswahili, hapa natwanga nyagi na maji ya kutosha plus redbul asubuhi ndio naingia kulala π π πUmeshashindikana weweππππ
siji huko mkuuBurundi mkuu
Kheeeeee kama hujalala nje ww leoNimepiga kahawa yangu pale uswahili, hapa natwanga nyagi na maji ya kutosha plus redbul asubuhi ndio naingia kulala π π
Kulala ni asubuhi π πKheeeeee kama hujalala nje ww leo
Kuna hela hukusiji huko mkuu
kaka mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, hela waachie waoKuna hela huku
πππMi nalala wewe keshaKulala ni asubuhi π π
Karibu tukeshe, toka umeanza kulala usingizi haushi π ππππMi nalala wewe kesha
Me kukesha naweza vzuri ila leo naumwa wacha nitulieKaribu tukeshe, toka umeanza kulala usingizi haushi π π
MAfua tu πMe kukesha naweza vzuri ila leo naumwa wacha nitulie
Cha moto kama?MAfua tu π
Ungepita kitu cha moto mbona yanakimbja
Tequila huwa unatumia π πCha moto kama?
Sinywagi kabisaππTequila huwa unatumia π π