Kaka acha tu ,watu waongo Sana mzee .
Nimefika nikamkuta amepukutika shepu hana lilishaisha na dunia inamwandama ,Basi nikaishia kuwa baba mlezi na Sasa nawaza nirudi zangu Mbeya nikaandae mashamba ya viazi kuona Kama nitafidia hela nilizochezea kwenye ujinga huu