Mkuu Mimi nimestaafu. Miezi miwili iliyopita niliadhimisha miaka kumi yakuwa na account jeif. Na miaka mingine minne yakuwa guest member.
Kwa SASA nakula Kwa macho, chamsingi mwambie
Aaliyyah aandae juice ya maziwa na tende, tuipate.
Kisha kapicha flan Ka mrembo
Tayana-wog akiweka hapa, basi siku itaenda vyeedi saaana