Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,775
๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐Kuna vijana siwaoni Leo vipi wameishiwa bando za kupima ๐ ๐
Ndio natoka uwanjani hapa. Ila ufute commentNa wewe
Tunataka ya pamoja
Nipo gudi ๐ ๐Wewe huyo๐คฃ
Poa sn V
Za ww
Kumbe wewe ni Mtumishi mzuri wa ule mmea wenu wa Arusha?Ndio natoka uwanjani hapa. Ila ufute comment
Na ulimwengu huu wapo limited vijana ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Kama Mimi tuTatizo mimi mweusi sana picha zangu hazitoki vizuri๐
Ngoja nijaribu hapa nipige niweke
๐๐๐Kumbe wewe ni Mtumishi mzuri wa ule mmea wenu wa Arusha?
Nyie wanawake hata mkiwa weusi bado mnakua warembo๐Kama Mimi tu
Mweusi tiii
Na bado naweka hivyohivyo
Mwambie Boss BL aselfike.....Hello ๐ tajiri Bantu Lady
Kumbe ndio maana๐๐๐
Natumia vizuri sana
Ona sasa mambo yako ๐๐Nyie wanawake hata mkiwa weusi bado mnakua warembo๐
Sisi tofauti sura ngumu mwanzo mwisho
Hpa nilipo nasubiri nile nipulize tena๐Kumbe ndio maana
Kuna kichaa wangu mmoja nakufananisha naye
Watu wa Arusha hamtofautiani sana๐