πππ Subiri kuoga mipesa, sema usinisahau kwenye ufalme wako.!Babu G hebu ukuje nikukague sio kwa pambio hizi na mie nataka upako
Wewe tena siwezi kukusahauπππ Subiri kuoga mipesa, sema usinisahau kwenye ufalme wako.!
πππππHapo sijui itakuwa ya kiserikali π
Hapa wa kukomaa naye ni sele, shangazi anajiona kamaliza hawezi kutusikiliza mahi.!
πππππππ Subiri kuoga mipesa, sema usinisahau kwenye ufalme wako.!
Eti anasema anaogopa nitamfia katikati ya safari πππ€£π€£π€£ kapeace week ya 6 babu anakusubiri akupe urithi wa mashamba unambwela?
Ngoja wajukuu wengine wawahi shauri yako.!!
Njoo uniletee Kiko ili unisalimie vizuri Babu yako π€Babu G hebu ukuje nikukague sio kwa pambio hizi na mie nataka upako
Mjukuu Kwa kazi hii kubwa unayonifanyia, kweli nimeamini hupendi nikufe Kwa baridi Babu yako π€Έπ€Έπ€ΈKapeace mahi pension tayari kazi kwako πΉ
Igweeeeeeeee babu π€ΈββοΈ
Uzuri babu hana kona kona kapeace babu anataka kukupa password ya card yake ya bank πΉ
Kama unakunywa π·, mwambie muhudumu akuongeze chupa nyingine bill juu yangu π€Mpige game moja mi refa, dawa za presha si unazo babu tatizo liko wapi? π€£π€£π€£
Nilimwambia a-focus kwenye mambo mengine for now maana mchumba mwenyewe umekua kimya sana, ni kama ulimsahau!πUsiniambie mdogo wako ushampea mwingine.
Nagamba nishalichukua kwa ajili ya safari
Labda nimselfishe yeyeπIphone ya Lamomy si ipo?
Selfika na hiyohiyo.
Naona unafurahi sana kuona pdidy anawapelekea moto watuπUongoo, alipapaswaa paja ndo akahemkwa kutokaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dr LizzyMaisha π΅π΅π΅
But, wait...
Shemeji bila mhusika?π€
Hatuwezi kuchota maji kwenye kisima na kwenda kumwaga bahariniπUpewe ungo upae sasa, ushafuzu uchawi bro πππ
Abee...Dr Lizzy
πππmmepigwa mambo ni kinyume nyume
Na weweLabda nimselfishe yeyeπ