Yaani ni kero balaa.
Mtu cha maana hana, salamu ndefu kama sijui kitu gani.... halafu sasa bora wangekuwa na ishu za maana, yaani ni mambo?, upo?, nakuona jukwaani, za wapi?,.... siku hizi uko kimya sana 🤬🤬🤬🤬.
Yaani mtu asikuone umecomment mahali, huyoooo 🏃🏃🏃anakuja pm!!!