No nimewaambia waamke usiku sana. Huwezi amini, nilikuwa nafanya majaribio, nimeacha muda mrefu, imefutika kote. Yaani ni mwendo wa kuselfika tu π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Daaah, broo mimi issues za kupanda meli siziamini kabisa yani ndio maana mimi napenda kushinda nyumbani kuliko safari safari ili kuongeza nafasi ya maisha