raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,860
- 36,957
Sasa jee ilo ziwa sasaaaa ๐ na baridi hii una makusudi wewee ๐Picha maalum kwaajili yโa raraa reree ๐๐
๐๐๐๐ Kwender mfyuuu.!!Sasa jee ilo ziwa sasaaaa ๐ na baridi hii una makusudi wewee ๐
Mtoto umeiva ๐ ๐ฅ๐๐๐๐ Kwender mfyuuu.!!
Uchinjwe xmas ๐๐๐Mtoto umeiva ๐ ๐ฅ
Kichwa kinawaka moto mpka kinataka kupasuka ๐Uchinjwe xmas ๐๐๐
๐๐๐ pole sanaKichwa kinawaka moto mpka kinataka kupasuka ๐
Aaaah bhana weeeeee ๐๐๐๐ pole sana
Karibu Nkamu๐๐๐ nkamu nakuja kula
Bwana Yesu asifiwe BrotherHuku kumbe naweza kucomment
Itakua nimetoka kifungoni
Ntakuchapa ๐๐๐Aaaah bhana weeeeee ๐
Nimeona ilivyonoga hapo mimi naila hivyo hivyo sitaki kuongeza chochote nkamu ๐๐Karibu Nkamu
Ilikuwa tamu sana
AmeenBwana Yesu asifiwe Brother
Wachangamshaji wote walipigwa pinAmeen
Huku mbona kumepoa sana? Cake zipo?
Nimekula na ugaliNimeona ilivyonoga hapo mimi naila hivyo hivyo sitaki kuongeza chochote nkamu ๐๐
Nna camera mbovu kinoma๐Wachangamshaji wote walipigwa pin
Inabidi upachangamshe kwa kuselfika
Keki zipo
Karibu sana
Wewe selfika hivyohivyo bila kujali cameraNna camera mbovu kinoma๐
Hapo kwenye cake naangalia nifanyeje, lla ngoja kuna mtu nitambless
Wa siku zote, Ila nataka iwe tofauti kidogo๐Wewe selfika hivyohivyo bila kujali camera
Mbona picha za camera zenye ukungu zimejaa humu.
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Safari hii unambless nani Boss ?
Wa siku zote, Ila nataka iwe tofauti kidogo๐
Umekosea, kuna namna nilitaka nikueleze๐Nkamu wangu eeeh?
Haya sasa ndio maneno๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Nkamu Lamomy una keki yako huku..
Kaka hana mbambamba๐ฅ