π π Hebu vaa miwani yako Mkuu uone vizuriYaani hawa ndio Mamisi au nipunguze konyagi Macho yananidanganya
Aaaa balaa sana naona hata Wagogo ninaoshinda nao hapa wamewazidi mbali kwa kweli au ndio Beuty with brain hao mamisi ππ π Hebu vaa miwani yako Mkuu uone vizuri
ThawaGeuka kwa nyuma tuone
Hahaha...................Bora huyo wa udsm, walau ana reception nzuri πAaaa balaa sana naona hata Wagogo ninaoshinda nao hapa wamewazidi mbali kwa kweli au ndio Beuty with brain hao mamisi π
Aaaa huyo wa Udsm Komwe ni kubwa sana Mkuu labda wa kushoto kwakeHahaha...................Bora huyo wa udsm, walau ana reception nzuri π
Hahaha.............mbona Mjukuu wangu mmoja ana komwe na bado alishinda huo Umiss miaka ya mwanzoni mwa 2000Aaaa huyo wa Udsm Komwe ni kubwa sana Mkuu labda wa kushoto kwake
Acha mawengeee dogo Hebu ibles jioni yangu kwanzaaUna chuchu nzuri
Hunaga baya ssy. Maneno kidogo Picha nyingi πππ
Yupo mstari wa nyuma huko, haonekaniNdio yuko wapi hapo ktk hao ? Katoto kako kwa maana ka bebi ?
Acha tamaa brazaNipe namba yake
Ha ha ha, hivi vimodo huwezi kuvielewa ka wewe siyo mzee wa closer to the bone, the sweeter the meatYaani hawa ndio Mamisi au nipunguze konyagi Macho yananidanganya
Queen π₯π₯π₯π₯
Leta anayoonekana sponsors tupo, kufanikisha ushindiYupo mstari wa nyuma huko, haonekani