Selfika na JF: Snap it. Show it

We leta samaki acha maneno mbofu mbofu
😂 Sasa samaki si nakununulia leo ila nikurudi ntakuwa nimechoka hivyo nataka nipate masaj kidogo hapo nashera. Cutakuja nawewe ufanyiwe masaji?
 
Nataka sato kutoka mwanza
Kesho naenda mwaloni kukunulia sato kitoto ndoo. Mida ya mchana nakwea pipa mpaka dsm nakununulia mjodari mmoja nakuletea hapo Moro. Ni matumaini yangu utaanza maandalizi Leo ya kuja nipokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…