Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndani ya JF...NO
Nje ya JF...YES

Ain't a verified member hasimu...
Acha hizo hasimuuuu.. kumbe zile akili zako za kipindi kile ulikua bado chalii sana Saivi tu unaonekana yanki tu mfyuuu 🀠!
 
I peep you tootin that lepatata πŸ˜‰ ila watch out iko na tabia mbaya hiyo ukipuliza muda mrefu.
 
Acha hizo hasimuuuu.. kumbe zile akili zako za kipindi kile ulikua bado chalii sana Saivi tu unaonekana yanki tu mfyuuu 🀠!

Huu mwandiko mbona kama umeandikiwa na coca 😊...kuna raia Maulana katujaalia udongo mzuri...

Unataka nianze kukufurusha tena eenh...?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sikia nikwambie ccy hayo maziwa hata sikumaliza ni mabaya
Hahahaha najua wee hupendi kulaa😁 Mi sinywi maziwa sis nyama yenyewe nimeanza kula juzikati tu hapa nilipewa dawa napo naonja tu vipande viwili vitatu basiii
 
Me nakula ccy kabisa sitanii.
Ulikia ukila nyama unakuaje ccy
Kakimeo kangu kanazima kwanza leo nimekabamiza chini ccy kamebaki kidg kafeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hahahaha najua wee hupendi kulaa😁 Mi sinywi maziwa sis nyama yenyewe nimeanza kula juzikati tu hapa nilipewa dawa napo naonja tu vipande viwili vitatu basiii
 
Huu mwandiko mbona kama umeandikiwa na coca 😊...kuna raia Maulana katujaalia udongo mzuri...

Unataka nianze kukufurusha tena eenh...?
khakhakhaaaa... Nimependa hapo pa raia kuumbwa na udongo mzuri 😁
Uko vizureee! Sema utubles🀳 ya down tusafishe macho sieee😊
 
Me nakula ccy kabisa sitanii.
Ulikia ukila nyama unakuaje ccy
Kakimeo kangu kanazima kwanza leo nimekabamiza chini ccy kamebaki kidg kafeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wee kumbe!!

Ile Siku niliona unabipu hutaki kula hahaa!

Lol utanibless hata badae sis chaji kwanza!

Kakikata tutanunua kengine sis!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…