Selfika na JF: Snap it. Show it

🔥🔥🔥🔥
Your browser is not able to play this audio.

Blogers wanataka news
Wakinitukana nnavyojichekesha utasema napenda upuuzi
Na vile walikariri njia wakihisi wananijua nawabadilikia
Push michuma nabadili gia
Pesa za mama sio za kuringia
Fanya michezo ila usifanye mchezo na mi jumba bovu litakuangukia
Tukivuta sana tunavutia, kimenuka sema tunanukia
Walipanga kutuchafua na tupo saafi
So kibajaji unafananisha na mwendokaasi



Intelligent businessman
 
Intelligent businessman .. msikilize lunyaa vizuri ... jamaa naonaga anajitahidi sana🔥🔥🔥

Najua hunipendi ila it’s funny bro
Mwenzako nishahama nyumbani tho
Ukinionaga si unapata homa inabidi utembee na panadol
Ana ana hanadoo
We coming for you panya road
Ndomana tulikukataa

Kwa sababu we ni stupid
Utafika ila haunikuti (never never never)
Utaniona ila haunigusi (no no no)
 
Hiyo ngoma kavurunda, Bora nibaki na conboi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…