Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua leo siko vizuri nimekasirika
calm down rafiki yangu . Usikasirike acha lipite ambalo lime kukwaza.. ishi kwenye dunia yako ya furaha 😊😊😊.. ebu chukua kwanza maua yako 🌹🌹🌹.. usikasirike
 

Miamala ya Kantri km yote nao wajitahidi labda watapata chochote kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni Histrionic personality disorder πŸ€£πŸ˜‚πŸ€’, National Anthem πŸ€’πŸ˜
wadada wa JF nime πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ... wana ma bifu.. ukiangalia kiini chake hakieleweki.. mie napenda watu wapendane.. sijawai gombana na mtu JF hata nikimkosea huwa naomba msahama.. acha nile vitu mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…