Yelewiii ππ€£
Ngoja nikuangalizie za Nyuma labda Usitoke hapoo!
Nini wee koloπ¦ππ€ !Yelewiii ππ€£
Mweh Kamera tu kipenzi... Nilikubless naona hukuona ok dakika sifuriNasubiri wenye hips zenu
Zaa mapema umalizane na hekaheka za uzazi mapemaa uduguuu!!! Nyonga itakaza ujue!![emoji16]
Cc mshamba_hachekwi π€CUTE wife
Aiseeee ma hips ka jumbaππ€CUTE wife
ShsjwkxNini wee koloπ¦ππ€ !
Kumbe wapenda wazungu uduguuu kila la kherii!!Nataka mzungu nipate shombe shombe hapa nipo naye nataka unisaidie nimwambie βUkifa huoziβ sasa nashindwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfyuuuu! Ndio nini hiko umeandika!!Shsjwkx
Umenonaaa π₯π₯π₯π₯π₯π₯π
Eti ulifeli, wakati nimeona ni bingwa wa kuandika ππKumbe wapenda wazungu uduguuu kila la kherii!!
Ngoja niangalie kwenye dictionary unajua udugu ako kingereza nilifeliiigii lol!! Au tungoje Eng cocastic atusaidiee!!
Santo sana japo ni Asante Kamera tyuuu mr likes !Umenonaaa π₯π₯π₯π₯π₯π₯π
Leo nime kuita Kama unavyo takaπ€Sawaπ¬