Selfika na JF: Snap it. Show it

Shkamoo Tajiri wa roho
Boss wetu majobless
Mteule mwenzangu kwenye safari ya Mbinguni,wenye siti zetu za VIP.

Msimu umeanza😍
Liverpool tushaanza kukiwasha ati Boss
Marahaba mdogo wangu wa faida

Hizi promo ulizonipa hapa mdogo wangu ni balaa na nusu😁

Msimu acha uanze tu
Tumepumzika vya kutosha
Chelsea hawana raha kabisa wanatamani mechi iahirishwe😁
Jumapili tunakiwasha balaa
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Zimeanza promo halafu sasa ndo inakuja main topic

Tunapokwenda kuwapiga wale kenge wa darajani wajaa laana,niwe tayari nimevaa uzi wetu mkali Boss wangu.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Zimeanza promo halafu sasa ndo inakuja main topic

Tunapokwenda kuwapiga wale kenge wa darajani wajaa laana,niwe tayari nimevaa uzi wetu mkali Boss wangu.
Ngoja nifanye namna mdogo wangu upate ule uzi wa away umetulia balaa
Nilisahau
 
Tuselfike na #airtel#
 
Attachments

  • 20230809_080244.jpg
    116.1 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…