Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,569
- 235,409
Nayoijua mimi ni aina moja nyeusi ambayo kibongobongo huwa tunatengenezaKwani kuna black forest za aina gani??
AsanteHongera madam π
Siwezi, Ime kaa ki mancityπππAsante
Njoo uonjeπ
Ooh sawa sawa medium size ni bei gani??Nayoijua mimi ni aina moja nyeusi ambayo kibongobongo huwa tunatengeneza
1/2 kg 25,000Ooh sawa sawa medium size ni bei gani??
Blue rangi ya kiumeπ€£Siwezi, Ime kaa ki mancityπππ
Yeah, sema napenda za ki gangsterπ€πBlue rangi ya kiumeπ€£
Ok sawa 30k please December huko. Tumalizane kule naniliiu.,,,,,,1/2 kg 25,000
750g 30,000
1 kg 35,000
Na kuendelea
Karibu sana MkuuOk sawa 30k please December huko. Tumalizane kule naniliiu.,,,,,,
Ok iwe dsm sasa. πKaribu sana Mkuu
Ikikaribia nitakukumbusha
Karibu mno,
Hautajuta kuniungishaπ
Ningeeka njano ungesema utopoloYeah, sema napenda za ki gangsterπ€π
Hata mkoani natumaOk iwe dsm sasa. π
Nilichomaanisha kusema inategemea mteja anataka ipi ni kwamba napika aina ya keki kulingana na chaguo la mtejaKwani kuna black forest za aina gani??
Basi ngoja nitafute hella unitumiee, my tinnest sibling birthday ime karibia.Ningeeka njano ungesema utopolo
Kijani CCM
Nyekundu Simba
Pink ya kikeπ€£
Maybe ningemix colors,japo sijataka complications maana ni ya kula tu hapa nyumbani.
Nipo DSMβββ
Ntakua dsm mimi. Mikoani sitaki.
Daaah ππ Umenikumbusha mbali sana.red velvet
SawaNipo DSM
Karibu sanaBasi ngoja nitafute hella unitumiee, my tinnest sibling birthday ime karibia.
πNa nampenda Kama mwanangu, so niambie ya kawaida.