Sisi wote humu si vivuli tu?
Vivuli vinaanzaje kuoneana wivu.
π π jf mtu ambae akisema ana file langu naweza rudi nyuma kidogo Depal hata kunifanya niikimbie ID ni huyo tu.. ila wengine wao ndio nitawachania mkekaaa mapemaa tuHumu kunamatango pori ya kwenda πππwenye mafile Yao wefungia stoo na funguo wamemezaππ
Ukikaona hako katoto kaambie nimekamiss mno.π π π file la uongo hilooo... jichanganye na tango pori hizo.. mwenye file langu humu na nina muogopa ni Depal tu.. wengine hamnitishi
Haya mtaje aliye bebewa, na aliye bebaπ€£πππ€Liongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha sawaUnique Flower ana umbea wa kijinga tuπ€£ππ, Hamna dem aliye chukuliwaπ€£π€
Mr pop starUkikaona hako katoto kaambie nimekamiss mno.
π π π katoto kwa kila kitu aisee... alafu kana sauti kama hakana dhambiUkikaona hako katoto kaambie nimekamiss mno.
πππHaha sawa
Unapenda mizozo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]
WiFi yako kwa Nani, π€ππ€£π€£, Kama sio upambe tuπ€Mno wifi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sipendi amani kabisaaβ¦β¦ kwanza kwa raha gani km bandari hatuna???
Nilisema wapambe nuksiπππWiFi yako kwa Nani, π€ππ€£π€£, Kama sio upambe tuπ€
Haya mtaje aliye bebewa, na aliye beba[emoji1787][emoji23][emoji16][emoji855]
Wapambe tu haiππ, we una jua nilivyo zezeta kwenu na Aaliyyah ππWewe unatangaza upo single jf nzimaπ±
WiFi yako kwa Nani, π€ππ€£π€£, Kama sio upambe tuπ€
Wakat wew unautunza uvulana wakoππWiFi yako kwa Nani, π€ππ€£π€£, Kama sio upambe tuπ€
Nilishakawinda sana naona hakaingii mtegoni, siku nikitua A town katakubali tu.π π π katoto kwa kila kitu aisee... alafu kana sauti kama hakana dhambi
I dare you to do soπ€π€π€, huna file langu loloteππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unayataka kuyarudisha ya nyuma?? Tuanze na file lako kwnn hutaki kuchagua wifi mmoja??