Nimepiga, hapana. Asubuhi nilikunywa mtori na chapati, mchana nikala ndizi samaki na usiku huu ndio nimekula hizo chips lakini sifurahii chakula.Ume piga mswaki ??, Ume shinda una kula vitu vitamu vitamu??🤔
WaitNimepiga, hapana. Asubuhi nilikunywa mtori na chapati, mchana nikala ndizi samaki na usiku huu ndio nimekula hizo chips lakini sifurahii chakul
Ujakosea kabisaKwahiyo mwaisa, nyie ndiyo matherapist., ?
Uko POA mkuu, au bado una grudge??Ujakosea kabisa
Nik okUko POA mkuu, au bado una grudge??
Mbona kawaida, Ina saidia kurudisha ladha.Kwanini lakini mbona vitu vichachu tena?
Vizuri 💪Nik ok
😂 siweziMbona kawaida, Ina saidia kurudisha ladha.
👉Afu mbona tamu tu😜
Shida UBISHI una kusumbua😁😂😂 siwezi
Ubarikiwe mkuu hata maandiko yame sema, amkeni mkaitawale dunia.Selfika na #airtel#
Mkuu Mjep, we hata kucha zako, hazija wahi kuonekana kabisa🤔🤣😂Amkeni tuselfike
Muda mzuri wa kuselfika huu
Nimeselfika sana chiefMkuu Mjep, we hata kucha zako, hazija wahi kuonekana kabisa🤔🤣😂