Selfika na JF: Snap it. Show it

Antonnia mnyama mkali kidogo nitume kikosi cha makomandoo wale wa kuvunja tofali pale taifa waje wakunasue nyakibo
Wee usinambie mnywanii 😁😁😂! Nyakiboo kuna wazee wa kamati mkivamia mjipange haswaa mnaeza pelekwa Burundi bila nyie kujijua mnywanii Takriiiiiiirrrrrrrrrr! 🤠
 
Wee usinambie mnywanii 😁😁😂! Nyakiboo kuna wazee wa kamati mkivamia mjipange haswaa mnaeza pelekwa Burundi bila nyie kujijua mnywanii Takriiiiiiirrrrrrrrrr! 🤠
Nimepiga namba zote not recharble!! Nikajisemea mnywani asije naye akawa ameelekea msoma Kama mwalimu yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…