Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwenzio nakiogopa kitambi balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukiona vyakula ninavyokula utachoka yote kukimbia kitambi
☺️☺️☺️

U-portable ndo nausaka kimtindo...kakitambi kananiangusha!😡
Huu utani wa ngumii walaiii🀠🀠😊😊😊!!


Mimi hata nifungee 24/7 hakipungui wala ninii uwiiiiiπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚!!
Natamani ningekua na tumbo kama nyie! !
 
Huu utani wa ngumii walaiii🀠🀠😊😊😊!!


Mimi hata nifungee 24/7 hakipungui wala ninii uwiiiiiπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚!!
Natamani ningekua na tumbo kama nyie! !
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Umejaribu mazoezi kidogo???
 
Hapo ndio nafeli kwenye mazoezi nipo mzito balaa!! mazoezi uanayosaidia kupunguza kitambi ni kama yapi nijaribu nione!!
Situps na Squats zinafaa sana.

Ukiweza kufanya hata 30 tu 4 -6 times a week kama unakula portion za kawaida lazima uone matokeo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…