Selfika na JF: Snap it. Show it

Wana selfika hatuna bayaaa na mtruu kusifiana ndio sifa yetu kuu!!

Sina hata hio shepu dear mie li mshangazi moja lilozeeka sanaa!

Humu wanajua kumjaza mtu aiseee!! Kuna pic moja ilitumwa humu emu nifunge bakuli langu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sifa zilizomwagwa ata shetani anatushangaa khaaaaaaa!!!
 
Thats us.. wanaselfika.!

Kuna wa kujazwaa ila sio wewe udugu akee!!
Bado nasubiria hapa kipenzi nifurahishee nikashangilie wananchi vizuri kwaniii !
Mie badae yanga tukishinda ntapitraa kama nilivooooooooo!
 
Tyr watajijua wenyewe wa kuponda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…