Hii muvi character wake Joker anapendwa sana japo ni adui..ni nzuri sana
Hizi ngazi zimekua kivutio cha utalio huko NYC ajili ya hii muvi.. View attachment 1274758
We endelea kuajiliwa mimi nipo nasubiri Dada anisongee kaugali baadaye nirudi Kwangu nikalewe ,mkuu isikuume sana familia yetu ni ni full malove.View attachment 1274681