mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
vipi tena😂I realized in hindsight
That hurting you wasn’t right
I figured out much later
That I behaved like a loser
After some introspection
I admit my wrong decision
Please accept my apology
Girl, I am very very sorry
Zinini tena
Ngoja wakisinzia nakutumia,itabidi tuweke sheria humu hamna kufuta picha
latecomers tunateseka😅
selfie zenuZinini tena
Kenge pori weNgoja wakisinzia nakutumia,
Ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Akuselfie zenu
Mla mihogo mkubwaKenge pori we
Ole wako
Mama kashimo aka dimpoz 🔥🔥🔥Aku
Me sijaweka selfie
Imeishaa ioooo😀😀😀 kulikua kumepoa sana
afu mnajua kuzifuta😂Aku
Me sijaweka selfie
Mimi nimeona nistaafu huu uzi kwa niliyoyaona leo. sitaki nichafue macho yangu tena.itabidi tuweke sheria humu hamna kufuta picha
latecomers tunateseka[emoji28]
Yaani niko stationery hapa wa laminate kabisa😂Mimi nimeona nistaafu huu uzi kwa niliyoyaona leo. sitaki nichafue macho yangu tena.
tulikuwepo wawili tuuuu mda ule, kweli nimeamini nami nimo kati ya wenye bahatiYaani niko stationery hapa wa laminate kabisa[emoji23]
😂😂Aiseee we jamaa😂😂😂😂😂
kuna mtu ameweka ya bikini nini??😬Mimi nimeona nistaafu huu uzi kwa niliyoyaona leo. sitaki nichafue macho yangu tena.