Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Nishatoa rangi ukasema sio Mimi.Selfie Jana niliweka mbona
Zile rangi za waganga tunatoa hatutoi?
Nijue moja kama nakutandika au hapana
Uko Marekani ujue
Achana na rangi za waganga
Unajipaka usoni unataka ukawange?
Selfie Jana niliweka mbona
Zile rangi za waganga tunatoa hatutoi?
Nijue moja kama nakutandika au hapana
Uko Marekani ujue
Achana na rangi za waganga
Unajipaka usoni unataka ukawange?
Dah[emoji23]Nishatoa rangi ukasema sio Mimi.
Umependeza Mtoto mzuri.
Siku njema[emoji8]
Safi sana,zitaitaWa mchongo😂😂😂
Mnipe oda hizo jamani.
Simu ziite...keki,perfumes nk
Simu ziite.
Wewe ni chizi[emoji23]Binti mrembo wa yesu
Ngoja niende chooni chapu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji7][emoji7][emoji7]
Wewe ni chizi[emoji23]
Mipira ianze tu uende jukwaa la sports kututukana
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanafukua nyuzi zangu kujua mm shabiki wa timu gani
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jambo kaka
Toka leoHuo ukaka Umeanza lini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Toka leo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh MkuuKumbe [emoji41][emoji41]
Eeh Mkuu
[emoji23][emoji23]
Ndo nani huyo?😆
kumbe depal ndo light😂light
Uliamua kunizingua tukumbe depal ndo light😂
hilo jina mimi silijui mzee we umelitoa wapiUliamua kunizingua tu
mahustler hawanenepiWanaselfika nisaidieni nahitaji kunenepa nifanyeje