Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mzunguu, mambo yangu wazi wazi.

Hao wote wanajua km wanalowekaa sehemu 1, kila mtu anakula kwa wakati wakee.

Eti Mjep na robbinhood mie muongooo??

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaloweka sehemu moja, hivi mnawapa kweli nisije nikajichanganya udugu [emoji2222][emoji2222]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini hii nakuwa huru nimeipenda chaajabu kuna mtu karudia kuniapproach hadi kwenye hili fekero
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF mchezoo? Unatongozwa na m1 kwa I'd 7 tofauti. Kaa kwa nywilaaaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaloweka sehemu moja, hivi mnawapa kweli nisije nikajichanganya udugu [emoji2222][emoji2222]
Wee tunawapaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km humuelewi, mkishakutana unampiga sound, ukitoka hapo unakuja JF unampiga block na ignore juu. Unakuwa mwepesiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…