ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,313
- 3,961
Kejanaaa upo πNa sio kelele tu, but Nina Mambo mengi aisee ππ
Nipoo bwege weeπ€£πKejanaaa upo π
π π naona mambo sio mabayaaNipoo bwege weeπ€£π
π Dahan bado hajajifungua tuDahan, na mshamba_hachekwi njooni mumuonee dogoπ€£π
karibu tena mkuuπ π naona mambo sio mabayaa
Nimepita kuwasabahi tu wazee wa bandari π πkaribu tena mkuu
Ume mjua π€£πkaribu tena mkuu
Vipi tukuuzie bandariπ€£πNimepita kuwasabahi tu wazee wa bandari π π
Oy mshamba_hachekwi ona Mbwa hiiπ€£π, Ina tuuza masela. Kisaa Demπ€π π π kwasababu mzuri, hana makuu wana maneno mtoto mzuri yule... bora bandari wangempa Dahan
labda mniuzie naniii kama inawezekanaπππVipi tukuuzie bandariπ€£π
π π π Dahan anacho kitu amazing cha kunilaza .. wewe je ?Oy mshamba_hachekwi ona Mbwa hiiπ€£π, Ina tuuza masela. Kisaa Demπ€
Dah umerudi na dharau, ngoja niwaite modsπ€£ππ π π Dahan anacho kitu amazing cha kunilaza .. wewe je ?
wakuda kinoma hao jamaaa.. wana wivu sana π πDah umerudi na dharau, ngoja niwaite modsπ€£π
Wakupasue tu ππwakuda kinoma hao jamaaa.. wana wivu sana π π
Nitawaroga π π .. nisemeshee mtoto mzuri Bantu Lady a.k.a shangaaziiWakupasue tu ππ
Sihusiki na habarI zao, uzuri au ushangazi waoπ€, i mean no malice to nobody,Nitawaroga π π .. nisemeshee mtoto mzuri Bantu Lady a.k.a shangaazii
π π π haya Dahan anakupa hi ..Sihusiki na habarI zao, uzuri au ushangazi waoπ€, i mean no malice to nobody,